Home / Mchezo / WIZARA YA MICHEZO INASTAHILI KUWAJIBIKA KWA NANI?; VYAMA VYA MICHEZO AMA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI?
WIZARA YA MICHEZO INASTAHILI KUWAJIBIKA KWA NANI?; VYAMA VYA MICHEZO AMA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI?

WIZARA YA MICHEZO INASTAHILI KUWAJIBIKA KWA NANI?; VYAMA VYA MICHEZO AMA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI?

 

Hivi karibuni Chama Cha Tennis Tanzania (Tanzania Tennis Association) kilipitisha katiba yake na kufanya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wake baada ya miaka mingi ya udikteta ndani ya chama hicho. Hata hivyo baada ya muda mfupi wa furaha kwa wapenzi na wadau wa mchezo huo nchini, mzimu wa uongozi wa zamani umeendelea kuikumba taasisi hiyo muhimu katika michezo.
Katibu wa zamani (aliyelazimika kujiuzulu) INGER NJAU na mwenzake FABRIZIO CALDARONE wamekuja na taasisi yao mpya ya ATP TENNIS FOR CHARITY ambapo huko ulaya kuna taasisi inayofahamika kwa jina la TENNIS FOR AFRICA, “ taasisi hizo mbili zenye majina tofauti lakini zenye wanachama haohao (Inger Njau na Fabrizio Caldarone) zina harufu ya utata” alisema mjumbe moja ambaye hakupenda jina lake litajwe. “Lakini utata zaidi ni pale ambapo mkurugenzi wa michezo nchini LEONARD THADEO alipowapa kibali cha kuendesha “shughuli za Tennis” kwa viongozi hao wa kigeni na kutotoa fursa na ushirikiano stahiki kwa chama chenye dhamana ya kusimamia mchezo wa Tennis Tanzania” mtoa habari huyo aliendelea kuelezea.
HUNGUZI ZAIDI: Hata hivyo katika mkutano wa kamati ya utendaji wa chama hicho uliofanyika hivi karibuni mengi yaliibuka kuhusu uongozi uliopita, ambao kimsingi kiongozi huyo wa zamani aliyelazimika kujiuzulu akishirikiana na raia mwingine wa kigeni ndio hao ambao taasisi yao inayofanya kazi sawa na majukumu ya Tanzania Tennis Association. Ilibainika kwamba siku tatu (3) tu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika (19/6/2013) uongozi huo wa zamani ulichota fedha benki (withdrawal) kiasi cha  US $: 12,000 sawa na TSH: 19,800,000/= pamoja na fedha zingine za kitanzania ambazo idadi yake haikufahamika mara moja, kimsingi waliamua kufanya hivyo kwa sababu walijua kwamba uongozi wao unaelekea mwisho, na kwamba uongozi mpya ukiingia hawataweza kutoa fedha hizo benki kutokana na mabadiliko ya kiuongozi.

UONGOZI MPYA: Baada ya mjadala mkali kuhusu katiba ya Chama Cha Tennis Tanzania kuvunjwa na fedha hizo zilizotolewa na uongozi huo wa zamani, kumeonekana kuwepo na mpasuko mkubwa kati ya wanaotaka kuacha kuhoji fedha zilizotolewa kinyemela dhidi ya wale wanaotaka kujua kulikoni?. “Lazima tujue sababu ya fedha hizo kutolewa, nani anawalinda watu hao?, kwa nini hadi sasa stakabadhi zote za kibenki (financial documents) hazijakabidhiwa kwa uongozi mpya kama alivyoahidi rais aliyepita kwenye mkutano mkuu wa TTA uliopitisha katiba na kufanya uchaguzi?, kama zimekabidhiwa; nani anawalinda wakwapua fedha za chama wasiwajibishwe? iweje mpaka sasa uongozi mpya hauna majibu?” alihoji mtoa habari huyo aliyeongea kwa uchungu kwa kujali masilahi ya mchezo wa tennis. “KWA KUWA INGER NJAU AMENUKULIWA AKISEMA KUWA ALIPEWA RUHUSA NA LEONARD THADEO” JE MKURUGENZI HUYU WA MICHEZO NCHINI ALISTAHILI KUTOA KIBALI CHA N.G.O KUFANYA KAZI AMBAZO NI MAJUKUMU YA CHAMA CHA TENNIS TANZANIA?. “Je mkurugenzi huyo wa michezo anafahamu Conflict of Interest kati ya taasisi hizo mbili za kigeni na chama chenye dhamana ya mchezo husika?, ama pengine mkurugenzi hajali vilio vya watanzania bali anajali vilio vya wageni kwa sababu anazozijua yeye?. Au pengine mkurugenzi huyo anayo masilahi binafsi na taasisi hiyo inayofungamana na taasisi iliyopo Ulaya?.

UTAIFA KWANZA: Muda sasa umefika wa viongozi wenye mtazamo wa kimasilahi kusemewa waziwazi sababu kama ni swala la mkurugenzi wa michezo nchini historia yake ni ‘ndefu na  mbaya balaa’!. Mfano mzuri ni pale mkurugenzi huyo alipokuwa na uhusiano wa kimasilahi na TOC ambapo wakati wa London Olympics bosi huyo wa wizara aliona London ni rahisi kufika kuliko Kibaha ambapo wadau walilalamika aende kuhakiki hali ya kambi ya Riadha na hakwenda, lakini London alikwenda haraka kuliko Super Sonic . ‘Itakuwa ajabu kama mkurugenzi mmoja ataendelea kuendekeza dalili za kifisadi wakati waziri na naibu wake wakitulia kila kukicha’. WAZIRI SIKILIZA VILIO VYA WADAU WA MICHEZO; MAANA WAO NI WATU NA SIYO VYURA;  BINADAMU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KULIA WALA KULALAMIKA BURE. Upande wa riadha wadau wamelalamikia ufisadi uliosababisha makampuni mawili ya kimataifa (PUMA na LINING) kutuita matapeli, mkurugenzi anayetajwa anafahamu mwanzo mwisho yaliyojiri kuhusu makampuni hayo mawili, kama hahusiki basi anawalinda waliohusika, AMBAPO KISHERIA KUHUSIKA AMA KULINDA WALIOHUSIKA NI KOSA LA JINAI.dabuday.blogspot.com

Toa Maoni Yako

comments

About Kibonde

19 comments

 1. I really love your website.. Excellent colors & theme.

 2. You can repeat this 6 – 7 times once or twice a day.
  It may take a little research for you to find the remedy
  that will work best for your particular situation.
  While part of that is true, at the root of each hair shaft is actually a seat of biochemical activity which explains how hair keeps growing about
  half an inch each month.

  Also visit my weblog – hair care products owned by procter

 3. Wonderful learn, I simply handed this onto a colleague who was doing some research on that. And he truly bought me lunch as a result of I discovered it for him smile So let me rephrase that: Thanks for lunch! Anyway, in my language, there arent much good supply like this.

 4. I had this website saved a while in the past but my computer crashed. I have since gotten a new one and it took me a while to locate this! I also really like the theme though.

 5. store locations, hours and Michael Kors Outlet Online. Save money on louis vuitton outlet, christian louboutin, michael kors

 6. Every the moment inside a though we select blogs that we read. Listed beneath are the most up-to-date web pages that we pick out

 7. Great post, I concur completely and appreciate the time you took to write it. Cheers!

 8. I have many times asked a bookstore why they didn’t have copies of one of my books, only to be told, after a quick look at the inventory control system: “But we do. It says we still have one copy in stock, and it hasn’t sold in months, so we see no need to reorder.” It takes some prodding to force the point that perhaps it hasn’t sold because it is no longer on the shelf.

 9. we prefer to honor lots of other world wide web sites around the internet, even when they aren

 10. Song Father a new close friend a few words and phrases, they know Documents say evidently and also logically, that aren’t completely wrong.
  ray ban canada online store
  [url=http://www.hargreavesservices.co.uk/9ea05309-ray-ban-canada-online-store.html]ray ban canada online store[/url]

 11. Lifestyle and also loss of life involving individual prospective in the excited, he or she all of a sudden dropped in reverse upon his or her again, toned on the floor generating an end contact, this specific fall’s action ESSAYS completed fairly quickly, he doesn’t desire sad collection.
  GPzehTTG michael kors wholesale replica handbags
  [url=http://www.sadga.org.za/Photo.aspx?michael-no&kors-no_GbA]GPzehTTG michael kors wholesale replica handbags[/url]

 12. Everybody can not necessarily shift it should can be found in the movie and never reality! However, this had been forged which has a wonderful hold such things as living right now there.
  burberry brit quilted jacket mens
  [url=http://www.churchinsutton.net/a6373753-burberry-brit-quilted-jacket-mens.html]burberry brit quilted jacket mens[/url]

 13. the lean meats could Eerbasi Both of these vessels throughout cancers cellular material but has been dishonored fairly vulnerable, even if it is no overstatement to say which currently seem with a hemostat and lightly pull this a couple of vessels, can cause blood vessels to be able to break.
  ray ban 3025 sunglasses price in india
  [url=http://www.dmm.my/2b9e4098-ray-ban-3025-sunglasses-price-in-india.html]ray ban 3025 sunglasses price in india[/url]

 14. to counteract probable bleeding Articles together with the power blade, this individual did not dare to chop electrical energy intake operate on the blade, but the collection of coagulation operate.
  oXRMoC2R hermes authentic belt
  [url=http://www.lifestylecollege.co.za/showcase.php?hermes=bag-6P5&-C_QV]oXRMoC2R hermes authentic belt[/url]

 15. always a massive fan of linking to bloggers that I enjoy but really don’t get a good deal of link adore from

 16. Wonderful story, reckoned we could combine a few unrelated data, nonetheless definitely really worth taking a appear, whoa did 1 find out about Mid East has got more problerms as well

 17. Anal skin tags are really embarrassing. But you do not need to get embarrassed any more. This video will show you how to get rid of them naturally and safely at home.

 18. I am truly grateful to the holder of this
  web site who has shared this enormous piece of writing at here.

 1. Pingback: phentermine

Scroll To Top